Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya
Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya
ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo la Matai Wilayani Kalambo
Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya
Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya
ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe
16 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Matai katika Wilaya ya Kalambo Mkoani
Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107),
tarehe 16 Julai, 2024.
Wananchi wa Matai,
Kalambo Mkoani Rukwa wakiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja na hafla ya
ufunguzi wa Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na
kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.
Taswira ya Barabara ya
Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akikagua Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa
na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.