Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule hiyo kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa