Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DktSamia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DktSamia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DktSamia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kutoka kwa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kabla ya ufunguzi tarehe 16 Julai, 2024.
Taswira ya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DktSamia Suluhu Hassan, tarehe 16 Julai, 2024. 

 




Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa