Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Barabara ya Sumbawanga, Matai-Kasanga (km107) Mkoani Rukwa

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Barabara ya Sumbawanga, Matai-Kasanga (km107) Mkoani Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo la Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Matai katika Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107), tarehe 16 Julai, 2024.

Wananchi wa Matai, Kalambo Mkoani Rukwa wakiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja na hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.


Taswira ya Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikagua Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.




Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa