Home » » WANANCHI WALEWA CHAKARI NI BAADA YA GARI LILILO KUWA LIMEBEBA BIA KUPINDUKA.

WANANCHI WALEWA CHAKARI NI BAADA YA GARI LILILO KUWA LIMEBEBA BIA KUPINDUKA.





Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi..... baada ya ajaali hiyo kutokea kijiji cha Mshani zipatazo km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe kwa wengine kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa watakavyo ila hakuna kuondoka na chupa..... asubuhi watu walikuwa wamelewa chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...
************
Hii imetokea Jumamosi asubuhi majira ya saa tatu asubuhi baada ya gari ya kampuni ya Kanji Ladji inayobeba bia iliokuwa inatokea Mbeya kwenda Sumbawanga ikiwa imesheheni vinywaji kupata ajali na kuanguka majira ya saa tatu asubuhi.
Tukio zima ingia: Rural & Urban blog.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa