Home » » DC SEDOYOKA AFUNGUA MAFUNZO YA MRADI WA HIFADHI YA ZIWA TANGANYIKA

DC SEDOYOKA AFUNGUA MAFUNZO YA MRADI WA HIFADHI YA ZIWA TANGANYIKA

 Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa viongozi wa vyama vya akiba na mikopo kutoka mikoa ya Rukwa na Katavi yaliyofanyika katika ukumbi wa RDC mjini Sumbawanga, wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa. Picha na Mussa Mwangoka.
 Mkuu wa wilaya Mathew Sedoyeka akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa viongozi wa vyama akiba na mikopo (Saccos) yaliyoandaliwa na mradi wa hifadhi ya ziwa Tanganyika kwa ufadhili wa UNDP na GEF. Pembeni yake ni mratibu wa mradi huo, Hawa Msham. Picha na Mussa Mwangoka. 
Mratibu wa mradi wa hifadhi ya Tanganyika unaofadhiliwa na UNDP na GEP, Hawa Msham akitoa mada katika mafunzo kwa viongozi wa vyama vya akiba na mikopo kutoka mikoa ya Rukwa na Katavi yaliyofanyika katika ukumbi wa RDC mjini Sumbawanga. pembeni yake ni afisa maliasili Nicholaus Mchome. Picha na Mussa Mwangoka.
Blogzamikoa
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa