Khadija Kopa akilia kwa uchungu hata kushindwa kutembea mwenyewe.
Dah sina hata la kusema. Pole sana mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki kigumu
Baadhi
ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza
kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija
Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya
kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri
kutokana na ugonjwa. Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho
ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani
Rukwa jana.
Picha kwa hisani ya zeddyblog
Picha kwa hisani ya zeddyblog
0 comments:
Post a Comment