Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgeni
rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Rukwa
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka (katikati)
akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiimba kwa
pamoja wimbo maarufu wa Wafanyakazi wa "Solidarity Forever" na
wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo katika uwanja wa Nelson
Mandela Mjini Sumbawanga.
Baadhi
ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi Mkoa wa Rukwa wakiwaongoza
wafanyakazi kuimba wimbo wa uishirikiano baina yao "Solidarity Forever"
katika kuadhimisha Siku ya wafanyakazi duniani ambayo Kimkoa imefanyika
mjini Sumbawanga katika uwanja wa Nelson Mandela.
Maandamano katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Rukwa katika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga.
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo.
Chuo cha Ufundi Stadi VETA Katandala.
Idara ya Maji Sumbawanga (RUKWA) wakifanya vitu vyao.
NMB Sumbawanga.
SIDO Rukwa.
Chuo Kikuu Huria tawi la Rukwa.
Onyesho
lililohusisha watoto wachanga mapacha katika kuonyesha utoaji huduma
kwa mama wajawazito na watoto wachanga katika Hospitali Kuu ya Rufaa ya
Mkoa wa Rukwa.
Onyesho
la uharibifu wa mazingira kwa uchomaji misitu na ukataji miti ambalo
hupelekea nchi kuwa jangwa na kuua vyanzo vya maji. Onyesho hili
liliandaliwa na Idara ya Maji Rukwa.
Kikundi cha Ngoma za asili cha Kanondo kikiburudisha katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha Waalimu kikiimba wimbo wa kutetea haki za wafanyakazi.Picha na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa
0 comments:
Post a Comment