Home » » TIMU YA MAGEREZA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA POSTA TANZANIA.

TIMU YA MAGEREZA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA POSTA TANZANIA.

 Meneja wa benki ya Posta Tanzania tawi la Rukwa, Kulwa Mwaisekwa  akimkabidhi mkuu wa gereza la Mahabusu Sumbawanga mjini, Molado Mdolo, vifaa vya michezo kwa ajili ya timu ya Soka Magereza Fc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa Rukwa. Picha na Mussa Mwangoka


Baadhi ya wachezaji na viongozi wa timu ya Magereza wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wameshika vifaa walivyokabidhiwa na uongozi wa benki ya Posta Tanzania. Picha na Mussa Mwangoka
Blogzamikoa
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa