Baadhi ya wageni wakifuatilia mashindano ya kumsaka mrembo wa mkoa wa Rukwa jana usiku kwenye ukumbi wa bomani mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
Majaji wakifuatilia kwa makini wakati washiriki (hawapo pichani))wakipita jukwaani wakati mashindano ya kumsaka mrembo wa mkoa wa Rukwa jana usiku kwenye ukumbi wa bomani mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Timbulo katikati akiwa na wenzake wakitumbuiza katika mashindano ya kumsaka mrembo wa mkoa wa Rukwa jana usiku kwenye ukumbi wa bomani mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
Redd's Miss Rukwa 2012 Joketi Joseph akiwa mwenye furaha baada ya kujishindia taji hilo katika mashindano ya kumsaka mrembo wa mkoa wa Rukwa jana usiku kwenye ukumbi wa bomani mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.

Redd's Miss Rukwa 2012 Joketi Joseph, akiwa ameshika fedha ikiwa ni sehemu ya zawadi aliyopata jana baada ya kutwaa taji la urembo wa mkoa wa Rukwa jana usiku katika ukumbi wa Bomani mjini Sumbawanga.
Picha zote na Mussa Mwangoka wa Rukwa yetu blog
0 comments:
Post a Comment