Home » » Hapa na Pale Sumbawanga Mjini

Hapa na Pale Sumbawanga Mjini

 RUKWA NI MJI WA UTALII
Baadhi ya watalii wakitembea katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. picha Mussa Mwangoka.

WANAWAKE NA MAENDELEO
Mmoja wa wakinamama akisambaza ulezi ili uweze kukauka na kuuza kama alivyonaswa na mpiga picha wetu jana kwenye eneo la soko la mandela mjini hapa. 
picha na Mussa Mwangoka wa Rukwa yetu BLOG

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa