
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akigonganisha Glasi ya Whisky na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo jana.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Injinia Stella Manyanya, akifungua mkutano wa mwaka wa wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu wa Wizara na makatibu tawala wasaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa Mikoa uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa huo (RDC) jana mjini Sumbawanga.
Kutoka kushoto ni Bi. Elizabeth Nyangumi Naibu Katibu Mkuu Hazina, George Yambesi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Injinia Stella Manyanya akifuatilia moja ya mada katikamkutano wa mwaka wa wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu na makatibu tawala wasaidizi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa huo (RDC)jana mjini Sumbawanga.Kwa Habari Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Wa Rukwa temebelea..
0 comments:
Post a Comment