Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aanza Ziara ya Kikazi Mkoani Rukwa kwa kuzindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi iliyopo Namanyere

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aanza Ziara ya Kikazi Mkoani Rukwa kwa kuzindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi iliyopo Namanyere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la huduma za dharura katika Hospitali Wilaya ya Nkasi tarehe 15 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.



 


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa