Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MARY ATHANAZ NDASI (38) mkazi wa Sumbawanga Rukwa
namba yake ya ushiriki ni MS 21 yeye ni mfugaji wa kuku.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu kutokana
na mradi huu ameweza kujenga na kulipa karo za shule za watoto na familia
inapata chakula cha kutosha. Anasema "Kwa mwaka ninapata trei 4,320 za mayai"
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment