Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambae ni Katibu Tawala Msaidizi Kitengo cha Serikali za Mitaa akifungua kikao cha wadau wa shirika la Water Reed Program linalofadhili miradi ya kupambana na ukimwi kanda ya nyanda za Mkoani Rukwa. Katika hotuba yake hiyo aliitaka jamii yote kushirikiana ikiwemo Serikali na asasi binafsi katika mapambano dhidi ya Ukimwi ili kuokoa nguvu kazi kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Sehemu ya wajumbe katika kikao hicho ambao wametoka katika Halmashauri zote pamoja na taasisi zisizo za kiserikali ndani ya Mkoa wa Rukwa.
Kwa hisani ya Rukwa View Blog
0 comments:
Post a Comment