Home » » MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZAINGIA MKOANI RUKWA

MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZAINGIA MKOANI RUKWA


 Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Kigoma, Kanali Issa Machibya jana mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Sumbawanga, mwenge huo utakimbizwa katika mkoa wa Rukwa kwa siku nne katika wilaya zote za mkoa huo ambapo utapitia miradi 27 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 5. Picha na Mussa Mwangoka.

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa,pteni Honest Mwanossa akizungumza na wananchi wa mji wa Sumbawanga jana mara baada kuzindua mradi wa ujenzi wa kiwango cha lami barabara za Manispaa ya Sumbawanga jana Picha na Mussa Mwangoka.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa