Home » » MATUKIO KATIKA PICHA

MATUKIO KATIKA PICHA

 Mmoja wa wafanyabiashara wa mchele ambaye jina lake halikufamika mara moja akiuza bidhaa hiyo huku akiwa amejifunika ungo kichwani kujikinga jua jana mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
Mwanasheria wa Manispaa ya Sumbawanga, Tulalemwa Mwenda, akisoma risala ya utii kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye viwanja stendi kuu mjini Sumbawanga wakati wa mbio za mwenge katika manispaa hiyo jana. Picha na Mussa Mwangoka.
Blogzamikoa
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa