Mwakilishi wa Rukwa Yetu Mussa Pius Mwangoka na mkewe Beatrice Maleko wakitoka nje ya kanisa la KKKT Sumbawanga mara baada ya kufunga ndoa yao.
Mwakilishi wa Rukwa Yetu Mussa Pius Mwangoka na mkewe Beatrice Maleko wakitoka nje ya kanisa la KKKT Sumbawanga mara baada ya kufunga ndoa yao.
Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Rukwa, elizabeth Ntambala na Juddy Ngonyani wakishangilia katika harusi ya mpiganaji mwenzao Mussa Pius Mwangoka.
1 comments:
hongeleni jamani kutimiza ahadi ya ndoa kwa mungu wetu . mungu awajalie maisha malefu nduguzangunii amen
Post a Comment