Home » » Timu ya Mpira wa miguu yamaveterani kutoka Sumbawanga Mkoa wa Rukwa

Timu ya Mpira wa miguu yamaveterani kutoka Sumbawanga Mkoa wa Rukwa


Timu ya Mpira wa miguu yamaveterani kutoka Sumbawanga Mkoa wa Rukwa wakiwa katika Uwanja wa Azimio Mjini Mpanda muda mfupi kabla ya mchezo baina yao na timu ya veteran ya Wilaya Mpanda katika mchezo uliofanyika hapo jana katika uwanja wa Azimio ambapo maveteran wa Sumbawanga walifungwa magori mawili kwa moja na maveterani wa Mpanda
Picha na Walter Mguluchuma.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa