Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM taifa, Nape Nnauye jana akifungua moja ya jengo la kitega uchumi la CCM lenye vyumba vya biashara zaidi ya 37 na kituo cha mafuta ambalo limejengwa kwa ubia baina ya CCM mkoa wa Rukwa na mfanyabiashara aitwaye Aziz Tawaqal.Picha na Mussa Mwangoka.
Mtoto Sharifa Tamim akimvisha skafu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa Nape Nnauye muda mfupi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa mjini Sumbawanga kwaajili ya ziara ya kichama katika mkoa wa Rukwa na Katavi.
Picha na Mussa Mwangoka wa Rukwa yetu Blog
0 comments:
Post a Comment