Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza kwenye mkutano
Mkuu wa 8 wa kanisa la kiinjili na kilutheri Tanzania KKKT la mjini
Sumbawanga ambapo utafanyika uchaguzi Mkuu wa Kanisa hilo na kuzaa
Dayosisi mpya ya Ukanda wa Ziwa Tanganyika. Katika hotuba yake hiyo
aliwaasaviongozi na waumini wa kanisa hilo kuepukana na vitendo vya
rushwa katika kuweka uongozi kanisani hapo pamoja na kuepukana na mambo
maovu na machafu ikiwemo kudumisha amani ya nchi.

(Picha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)
0 comments:
Post a Comment