Home » » Changamoto Za Usafiri Wa Barabara Sumbawanga

Changamoto Za Usafiri Wa Barabara Sumbawanga

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo,imesababisha sehemu ya barabara itokayo Sumbawanga kwenda Mbeya, kuharibika eneo  la kijiji cha Kianda,Sumbawanga

 Basi likiwa limekwama leo asubuhi,kijiji cha Kianda Sumbawanga
Basi likiwa linavutwa na 'greda' leo asubuhi kijiji cha Kianda Sumbawanga.

    Picha zote na kikosi cha  Mjengwa Blog-Sumbawanga
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa