Home » » Mwalimu aliyefumaniwa akwepa hukumu

Mwalimu aliyefumaniwa akwepa hukumu

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
MWALIMU wa Shule ya Msingi Katani wilayani Nkasi, Rukwa Ringtone Rayson (36) amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya sh 100,000 kwa makosa ya kufumaniwa na kumjeruhi mume wa mwanamke aliyekuwa naye.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nkasi, Ramadhani Rugemalila, Mwendesha Mashitaka Hamimu Gwelo, alisema mtuhumiwa huyo alifumaniwa na mke wa Richard Feruzi (33) aitwaye Beata Sangu (31).
Pamoja na hukumu hiyo, mtuhumiwa alitakiwa kulipa faini ya sh 300,000 kutokana na majeruhi aliyomsababishia Feruzi na mdogo wake Stanslaus Feruzi waliokuwepo siku ya tukio.
 Chanzo;Tanzania daima
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa