Home » » HII NI NJIA KUELEKEA MKOA WA RUKWA ,WANAOISHI HUKO SASA HAWANA TENA MAUMIVU.

HII NI NJIA KUELEKEA MKOA WA RUKWA ,WANAOISHI HUKO SASA HAWANA TENA MAUMIVU.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Tofauti na Miaka 10 iliyopita , ambapo watu walikuwa wakichukua masaa mengi sana njiani kabla ya kumaliza safari kulingana na Barabara kuwa Mbovu kupita kiasi, lakini sasa Barabara hii ni Safi Serikali imefanya kazi kubwa, na ni moja ya njia ambazo Mpaka mwaka jana katikati kulikuwa hakuna kituo hata kimoja cha mafuta kutoka Tunduma mpaka karibia na Sumbawanga mjini.

Je Nini maoni yako kuhusiana na Barabara hii? weweza changia Chini ya post eneo la Comment au hapa Facebook chini ya hii Post.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa