Home » » MAZISHI YA PADRE WA KWANZA ALIYESOMEA SEMINARI YA KAENGESA JIMBO LA SUMBAWANGA‏

MAZISHI YA PADRE WA KWANZA ALIYESOMEA SEMINARI YA KAENGESA JIMBO LA SUMBAWANGA‏


 Askofu Damian Kyaluzi wa Jimbo katoliki la Sumbawanga akiendesha ibaada ya mazishi ya kumuombea marehemu Padre Augustino Kanyengere (75) hapo jana katika Kanisa kuu la Jimbo la Sumbawanga. Padre Kanyengere alifariki Oktoba 17 mwaka huu katika hospitali la Kristu Mfalme Mjini Sumbawanga kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu na kuzikwa hapo jana katika makaburi ya Katandara.
Padre huyo ndiye aliyekuwa padre wa kwanza wa Kanisa hilo kupata Upadre kwa kutokea seminari ua Kaenngesa inayomilikiwa na kanisa katoliki Jimbo la Sumbawanga iliyoanzishwa mwaka 1956


Picha na Walter Mguluchuma    -    Sumbawanga
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Rukwa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa